Wafahamu legends wa bongofleva

Mbona Afande Sele mnamnyanyapaa sana? Au haimbi au hakuwahi kuimba bongo fleva?
 
Unaikimbia Mada yako wewe mwenyewe... Unaposema yeye ndie alikuwa kichwa ina maana hao wenzake si lolote si chochote?
 
profesa
inspector
afande
mwanafa
duly
kikosi
blu
tid
ngwea
noorah
jide
jay mo
gk
ay
fa
nk nk
 
Hii list kama haina Jay Mo, Juma Nature, Crazy GK, basi ni feki!!
 
Unaikimbia Mada yako wewe mwenyewe... Unaposema yeye ndie alikuwa kichwa ina maana hao wenzake si lolote si chochote?

walikuwa na uwezo wa kawaida, Prof Jay alikuwa exceptional
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…