Wadudu kwenye ubongo wa mbuzi

Kondoo ndio balaa kwa funza kichwani
 
Umeuziwa cha kondoo mkuu ndo huwa kuna wadudu

Napenda sana supu ya vichwa vya mbuzi
Wewe siyo mzoefu wa hayo makitu!

Yaani unavyopenda supu ya kichwa cha mbuzi, leo ukiletewa cha kondoo waweza kushindwa kutofautisha?

Hayo mafunza ni kwa mbuzi, kondoo hadi wanyama pori nyemela, pongwe na nyumbu unayakuta kibao tu.

Hata hivyo comment #20 kafafanua kitaalamu hao funza wanaingiaje kwenye vichwa vya wanyama jamii ya swala, wafugwao na wa mwitu.

Pia swali hili lilishaulizwa mara nyingi sana humu na kujibiwa na wataalamu wabobezi
 
Ahsante sanaaa
 
Noma Sana tatizo hamjui kuandaa mbuzi yule kichwa kinapaswa kichomwe then Kuna ka v fln HV unakata unaondoa ile funza Sasa nyinnyi waswahili mnapika had funza

Aisee nyiny Kama hamjui kuandaa mtafute. Mmasai ndio akuandalie kile kichwa ndipo ukachemshe achen upumbafu
 
Leo nimenunua Kichwa cha Mbuzi Vingunguti, ile kukipasua na kuanza kuchemsha ghafla naona wadudu..

Hii ikoje wakubwa,
Kama ni kawaida na binadamu pia ubongo unawadudu
Hao ndio wanacontrol akili
 
Kawaida kwenye kichwa cha mbuzi...

Kama vile samaki alivyokua ana jiwe kwenye kichwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…