Wadau wasalaam allekum

Wadau wasalaam allekum

Dr-of-three-Phd

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
202
Reaction score
30
Salaam,

Natafuta simu nzuri ya double line yenye TV na FM nitapata duka gani na make gani ni nzuri?

Mdau
 
Kama hujui kusalimia kwa hiyo lugha--potezea tuu, sio unaharibu lugha za watu mkuu.
 
Nenda Kariakoo, kuna maduka zaidi ya buku kule mtaa wa Aggrey. Spesifikesheni za simu unayoitaka ni za kichina, na simu za kichina huwa hazina make ya kueleweka, kuna Bluetooth, Obama, Michael Jackson, Multimedia, TV Phone e.t.c. So far TECnO ndo ambao wana make ya kueleweka ya simu mchina na zinazodumu, jaribu hiyo brand!
 
He! mkuu, unataka kuwa unaangalia ka tv na karedio kwenye kwenye kasimo?
 
Back
Top Bottom