The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,409
- 1,813
Naomba mdau anayefaham sehem wanakouza mashine ya kuandia mpunga ndani ya nchi ikiwezekana na bei yake au link ya sehem wanakouza kwa njia ya mtandao iwe japan,china popote pale
Mkuu sisi tunazo za kupanda row nne na kupalilia mpunga row mbiliNaomba mdau anayefaham sehem wanakouza mashine ya kuandia mpunga ndani ya nchi ikiwezekana na bei yake au link ya sehem wanakouza kwa njia ya mtandao iwe japan,china popote pale