Wadau Wanyama 116 ikiwemo Twiga(nembo ya Taifa) Wapo Dubai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau Wanyama 116 ikiwemo Twiga(nembo ya Taifa) Wapo Dubai

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Janja PORI, Aug 17, 2011.

1. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#1
Aug 17, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
wadau Hivi Hii Case No EC 4/2011 MAHAKAMA YA MOSHI inatosha kweli Kutumbumbaza why Not invoke Article 30 of Constitution? LHRC mtikila wapo? Jamani Wale wanyama wapo huko United states Arabs kuna jimbo near to Dubai wana special mbuga ya wanyama Weng walichukuliwa Loliondo. Jana nimetoka huko huwezi Amini mpaka Gazel wapo Huko nadhan soko la utalii Tanzania ndo basi. Wadau mnasemaje?↲
Submited

2. mchakachuaji192

mchakachuaji192 JF-Expert Member

#2
Aug 18, 2011
Joined: Oct 19, 2010
Messages: 353
Likes Received: 26
Trophy Points: 45
Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo, tuna viongozi mabogas ambao maslahi ya nchi hayapo kwao, wanachojali wao ni biashara zao tu

3. H

Hussein Twaha Member

#3
Aug 18, 2011
Joined: Aug 13, 2009
Messages: 8
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Wallah! Ni kwa kuwa nchi haiwezi kwenda bila ya kuwa na viongozi, vinginevyo ingekuwa bora tubaki bila ya kiongozi yeyote kwa sasa. Ni kama mtu anayetendwa katika mapenzi, hatimaye huamua kubaki bila mpenzi angalau kwa muda fulani, maana HAINA MAANA TENA kuwa na watu wasiojua ni kwa nini wapo.

4. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#4
Aug 18, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45

5. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#5
Aug 18, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
mapinduzi solution Tilalila Ka DESI

6. zomba

zomba JF-Expert Member

#6
Aug 18, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 17,081
Likes Received: 49
Trophy Points: 0
Kwanini isiwe hiyo ndio Tangazo la kuzidisha utalii Tanzania, hiyo ni zoo tu, watu wakienda hapo watahamasika kuja kuona "wild" animals.

Mbona husemi waliopo London zoo, New york zoo, Sydney zoo? na nchi zingine nyingi tuu zenye zoo duniani, Dubai wamekukosea nini? Au ndio kama ya Dowans na Symbion?

7. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#7
Aug 18, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45
kweli we Zomba kaka unajua principle of sovereign over Natural resources ? Kaka huko newyork ni wanyama wao we kama c mtanzania piga kimya

8. P

Penguine JF-Expert Member

#8
Aug 18, 2011
Joined: Nov 29, 2009
Messages: 1,226
Likes Received: 390
Trophy Points: 180
Nasikia ati wazee wa Mjengoni walikaa kama Kamati ya Chama kutulizana. Hamna kitu tena hapo kaka, mpaka watanzania wenyewe tuamke. Walioko madarakani siyo watanzania wenzetu. Ipo siku watoto wetu wataenda kumtafuta na kumwangalia tembo huko Dubai maana wote watakuwa wameishabebwa na ndege ya Jeshi la Qartar.

9. M

Mwala isango New Member

#9
Aug 18, 2011
Joined: Aug 18, 2011
Messages: 2
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Hii ndo tanzania ya amani na upendo so tùdumishe mshikamano umoja na amani vyetu wale wenye meno makali ,viongozi wanauza nchi weny wenye nchi tupo kimya .

10. P

Penguine JF-Expert Member

#10
Aug 18, 2011
Joined: Nov 29, 2009
Messages: 1,226
Likes Received: 390
Trophy Points: 180
Kaka samahani, hapa umeonesha mapungufu mno katika kufikiri na mapungufu mno katika uzalendo na mapungufu mno katika kujali utamaduni na mali zetu.

Huyu Ndugu halalamiki kwanini kuna zoo huko Dubai, wala hahitaji kujua kwamba wewe unazijua zoo za london, ncy kwa wiliam malecela wala sydney, anacholalamika nikwamba Tanzania imevamiwa kimaliasili na mataifa mengine (japo kuwa uvamizi huu ni kwa ushirikiano na viongozi wetu na vyombo vya dola); na kwamba mali asili tulizoibiwa zimeonekana huko anako kusema (Dubai), ndiyo anajiuliza ni hatua gani kama taifa tunaweza kuchukua?

Utanisamehe sana Zomba kama nimetumia lugha ya kuudhi huenda hata wewe maelezo yako yametokana na kwamba hujamwelewa vizuri huyu ndg au hujaelewa kinachoendelea nchini juu ya wanyama waliotwaliwa na dege la jeshi la Qartar ambalo ujio wake walivifanya vituo vyetu vyote vya jeshi la anga kutoliona, wana usalama wa taifa kutosensi chochote walikuwa kunusa wandamanaji wa ndani, kitengo cha upelelezi kilikuwa usingizini, na mengine mengi ambayo leo nisiyaseme. Hilo ndiyo lalamiko lake

11. Henge

Henge JF-Expert Member

#11
Aug 18, 2011
Joined: May 14, 2009
Messages: 6,765
Likes Received: 78
Trophy Points: 145
yAAAANI JINGA NI JINGA TUU SEMA MUNGU AMEUMBA WOOTE NA ANATUPENDA SANA!

12. Henge

Henge JF-Expert Member

#12
Aug 18, 2011
Joined: May 14, 2009
Messages: 6,765
Likes Received: 78
Trophy Points: 145
WEWE BISHANA TUU NA HILO TAAHILA, HILO NI PUMAVU FLANI tUUUU!

13. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#13
Aug 18, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45

Henge na penguine Bora mmejua Humu JF kuna vilaza wa mawazo msibishane nao Tujadili baada ya miaka Kumi watoto wetu watajivunia nini INTERGENERATION EQUITY IPO WAPI TZ?

14. Ruge Opinion

Ruge Opinion JF-Expert Member

#14
Aug 18, 2011
Joined: Mar 22, 2006
Messages: 1,696
Likes Received: 306
Trophy Points: 180
Mmmmhhh!!! Ndiyo nchi gani hiyo? Lakini naunga mkono hoja.

15. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#15
Aug 18, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 808
Likes Received: 50
Trophy Points: 45

Ruge ni U.A.E united Arabs Emirites ila huku tunaita UA ka mnavoita Tanzania TZ AU BONGO

16. Chakaza

Chakaza JF-Expert Member

#16
Aug 18, 2011
Joined: Mar 10, 2007
Messages: 23,659
Likes Received: 21,878
Trophy Points: 280
Mkuu nakukubalia kabisa usemayo. Ndio maana kuna usemi "acheni MUNGU aitwe MUNGU", kaumba hata fisi hivyo usishangae kuliumba zomba.

17. Apollo

Apollo JF-Expert Member

#17
Aug 18, 2011
Joined: May 26, 2011
Messages: 4,889
Likes Received: 1,369
Trophy Points: 280
Ni upumbavu uliokidhiri, yaani wanyama wanatolewa tu kama sukari bila kuangalia maslahi ya nchi. Kusema ukweli mimi inaniuma sana kwani nimeomba corzi ya utalii degree, najua hiyo kesi itaisha kimya kimya kwani ndio tabia ya serikali yetu, ni mbwa wanaobweka lakini hawana meno wala kucha. Bloodfulz. Hawajui itachukua muda mrefu kurecover idadi hiyo? Mi nimewachoka, hawana akili wanafikiria na makalio. Ni wachache waliopo huko wana akili. Hivi na huyu mkuu yupo wapi? Sioni effrt zake yeye kama yeye!

18. Ndallo

Ndallo JF-Expert Member

#18
Aug 18, 2011
Joined: Oct 1, 2010
Messages: 7,134
Likes Received: 1,088
Trophy Points: 280
Time will tell! Hakika narudia ule usemi aliowahi kuusema muheshimiwa waziri mstaafu wa awamu ya kwanza ndugu Joseph Sinde Warioba... Namnukuu "Watanzania ni watu wapole sana lakini itafika wakati watasema basi na inatosha"....!!! Mwisho wa kumnukuu.

19. zomba

zomba JF-Expert Member

#19
Aug 18, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 17,081
Likes Received: 49
Trophy Points: 0
Wewe usinletee kujuwa mimi , huna ulijualo bali majungu tu. Kuna kosa gani wanyama wakiwa Dubai Zoo? tunawaleta wazungu na makabila mengine kuja kuwawinda ili wapate sanamu tu la kutundika kwenye kumbi zao "trophy hunting" hakuna anae sema . leo Waarabu kuwanunua hao wanyama, tena kwa bei kali sana na kuwaweka Zoo. Imekwa mwao?

Nadhani hamna nadharia ya kutosha, Jee, mnajuwa kuwa kuna wanyama wa hapa Tanzania ambao walipunguwa sana mpaka tukaletewa wengine walikuwa wamepelekwa nje ya Tanzania?

Usongo wenu ni kwa Waarabu tu, mbona ya wazungu wano nunuwa wanyama kila siku hamuyasemi. Wacheni hizo, wazungu wanapeleka wanyaa tena kama pets tu wa majumbani mwao na si kama walivyofanya hao waarabu, kututangazia soko, halafu leo mnajidai wajanjaaa. Kwendi zenuni huko.

20. zomba

zomba JF-Expert Member

#20
Aug 18, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 17,081
Likes Received: 49
Trophy Points: 0
Wewe huna hoja wala huna akili timamu kaa kimya, hata kuandika vizuri unashindwa halafu unataka kuongea na mimi? huna mpango kweli wewe.

Usongo wenu wa nini? Mbona Wanyama wanachukuliwa kila siku na nchi nyingi tu na si hao Waarabu pekee. Mbona hamsemi?

Loading...