Wadau wanaopenda Photography, Editing, Graphics tukutane hapa

JMipicha

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
705
1,072
Habari ndugu zangu

Mimi Nina mpango wa kununua camera nilikuwa nataka mnijuze camera’s gani ya bei rahisi kwenye kampuni ya Nikon ambayo ipo vizuri kwaajili ya photography.

MAJIBU YENU PLZ NA KAMA UNA SWALI ULIZA PIA?
 
Back
Top Bottom