ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,532
- 51,235
Wakuu kama hii imetokea marekani Chriss Brown na Soulja boy watakinyunda kule dubai. Wataingiza pesa mingi. Nchini hapa promota achukue wazo. Pay for views tutapata wengi. Team diamond vs team kiba.
Mashabiki watahudhuria maelfu ukumbi uwe mkubwa. Ila hata wawe na walimu wazuri bado Nina uhakika King Kiba atamdunda diamond mapema. Bado mdogo Sana. Na ni wazo tu hizo hela zitazidi kuwatajirisha.
Beef hawana la kusema washindwe kuingiza pesa ndefu. Bongo matukio. Heshima Kwa team zote. Ni mziki mzuri wapambane na kwenye ulingo