Wadau wa wikend leo vp

Hahahaa hapokwenye tubia wangetoa wakanichia hiyo kitu ya ndizi, NDO KWIBHUSE IMUHILA KGM

teh teh teh..... basi bia zinatoka uletwe mzinga ili kukata hayo mafuta
 
hyo bia ya mwisho ni aina gani? mana ina majina mawili hapo
 
hivi unategemea sasa hivi nimetoka kazini niende nyumbani kweli mkuu? akina mama ndo waende nyumbani wakalee watoto

Jamani nyieeeee nawe urudi ukamlee mama watoto walau ukamkande amechoka kukaa kwenye desktop lol
 
Of course no doubt no gout. Hii ni chakula, mboga aka mnafu. Kuiita mdudu ni kuishusha hadhi. Uipate na bia au soda yenye jasho....we!! ( PITA KUSHOTO KAMA HULI)
 
Of course no doubt no gout. Hii ni chakula, mboga aka mnafu. Kuiita mdudu ni kuishusha hadhi. Uipate na bia au soda yenye jasho....we!! ( PITA KUSHOTO KAMA HULI)
Umenikumbusha kuna kipindi ilipigwa marufuku kuna kona moja wakaita mchicha ilikuwa ni shiiiidaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…