S smok3y New Member Joined Dec 3, 2015 Posts 4 Reaction score 1 Feb 9, 2016 #1 Mimi ni mjasiriamali natafuta ushauri na connections na wadau wanaojihusisha au wenye uzoefu na biashara ya supply and demand ya viwanda vya mifugo. Yoyote mwenye interest tafadhali...
Mimi ni mjasiriamali natafuta ushauri na connections na wadau wanaojihusisha au wenye uzoefu na biashara ya supply and demand ya viwanda vya mifugo. Yoyote mwenye interest tafadhali...
J jomuka Member Joined Oct 17, 2015 Posts 22 Reaction score 8 Feb 10, 2016 #2 Hujaeleweka! Viwanda vya mifugo, viwanda vya kuzalisha mazao ya mifugo, au viwanda vya kusaga na kuchanganya chakula cha mifugo?
Hujaeleweka! Viwanda vya mifugo, viwanda vya kuzalisha mazao ya mifugo, au viwanda vya kusaga na kuchanganya chakula cha mifugo?