Wadau wa taarab msaada wenu wahitajika

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
wadau kuna nyimbo za taarabu za zamani zilizopigwa na abdul misambano akiwa na leila khatibu.nimezitafuta mpaka nimechoka.Leila wangu,asuu, nk nitazipata wapi jamani? Msaada tafwadhari! @jamani
 
wadau kuna nyimbo za taarabu za zamani zilizopigwa na abdul misambano akiwa na leila khatibu.nimezitafuta mpaka nimechoka.Leila wangu,asuu, nk nitazipata wapi jamani? Msaada tafwadhari! @jamani

MI NINAZO LAKINI SI ZAMANI YA KINA MISAMBANO.. ZA ZAMANI ZAIDI.. kina sit bint saad, ikhwaa safaa ... etc
 
MI NINAZO LAKINI SI ZAMANI YA KINA MISAMBANO.. <i><b>ZA ZAMANI ZAIDI</b></i>.. kina sit bint saad, ikhwaa safaa ... etc
mkuu nitumie hata hizo nitashukuru zedy2004@gmail.com
 
Nyani Ngabu atakusaidia hapa......Manake mambo ya vidole juu ndo mambo yake...
 
Nyani Ngabu atakusaidia hapa......Manake mambo ya vidole juu ndo mambo yake...
sijui kwa sasa yupo wapi embu ngoja nikamtafute kule kwenye jukwaa la siasa nadhani atakuwa kule.
 
wadau kuna nyimbo za taarabu za zamani zilizopigwa na abdul misambano akiwa na leila khatibu.nimezitafuta mpaka nimechoka.Leila wangu,asuu, nk nitazipata wapi jamani? Msaada tafwadhari! @jamani

mkuu pm rizwan ndiye no one taarabu supporter lazima atakuwa nazo
 
thanx mkuu jf kweli kiboko.
 
kiongozi upo juu nimezinyonya zile ulizo niwekea juzi na hizi kesho nafanya kweli nitakapokuwa ktk pc shkran sana.
 
kiongozi upo juu nimezinyonya zile ulizo niwekea juzi na hizi kesho nafanya kweli nitakapokuwa ktk pc shkran sana.

poa na Zip nyingine 37 .... baadaye temebelea hapa nitakuwekea link
 
poa na Zip nyingine 37 .... baadaye temebelea hapa nitakuwekea link
hahahahaaaa!mkuu jana nilikuwa napiga hayo mapini watu wakaanza kuniuliza kama naweza kuwawekea ktk simu zao.nikawaambia naogopa cosota watanifunga.pamoja sana mkuu pia najua hizo unazo ziweka tumefaidi wengi japo wengine hawajachangia ilatambua unatusaidia wengi..alafu umenikumbusha na goma jingine linaimba hivi'njoo darling njoo darlng unipoze moyo' na 'mimi mwenyewe kwenda nimekwenda sokoni kununua kabechi pilipili kuletea bibi chumbani.dagaa uono mboga yawanyonge.......
 
hahaha hiyo nyimbo ya njoo darling kaimba bi shakila nadhani, basi hizi hapa nyingine ndani utawakuta kina sabah munchanchu, ile nyimbo yake "mithili yako hapana" , bi rukia ramadhan , seif salim .. ikhwaan safaa , issa matona "kimasomaso" na wengine

Download Old taarab.zip from Sendspace.com - send big files the easy way

kesho nitakuwekea za bi kidude na bi malika
 
mkubwa tunasubiri za bi kidude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…