WADAU WA MMU: Wakati mwingine tuwe serious Jamani

THREADS ZA KUOMBA MSAADA LAZIMA ZITAPUNGUA... TWATAKA ZILE ZA KUELIMISHA ZAIDI. Hii ni campaign!
 
Nakuunga mkono mwanzo hadi........No! Labda niseme sikuungi mkono kwa sababu ya sentensi yako iliyokuwa highlighted. Huu wasiwasi wako unaupima vipi wakati unashauri watu watoe story?
 
ila sio siri inabidi tupunguze kuomba ushaur mana inafika kipengele mtu unaona huu ni uwongo mana hakuna hata namna ya kuelimishana hii thread imetawala ushaur tuu ushaur tuu inachosha tubadilike jaman
 
Unalazimishwa kusoma na kuchangia?!
 
Nivigumu sana kwa kizazi hiki cha'ngonograff'kuperuzi maswala yanayahusu jamii,nivijana wachache sana wanao tizama mbali!lakini nawewe haumo'umo?tusije kuzugana hapa.
 
unapenda kuwa moderator eeeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…