etv wanaonyesha lini? Saa ngapi?Startimes wanaonesha E-TV ila sio live
Ataweza.
Daaa ni kweli ila shughuli ya strawman sio mchezo aiseehii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
For such scene it cant convince WWE it is fake coz those are just compilation of scenes that went wrong may be upload another one
Weweeeee...... Umeona hiyo vurugu yake........ Mbona wamemrudisha wenyewe....... Achana na ile jitu... Imebinua lori aseeeeStrawman amekua fired now.IPO hewani sasa hivi mieleka..
Aisee acha tu amshukuru Stephanie.. Lina nguvu..nimecheka pale kwenye keki tu ha ha haWeweeeee...... Umeona hiyo vurugu yake........ Mbona wamemrudisha wenyewe....... Achana na ile jitu... Imebinua lori aseeee
Daah mi nimecheka pale studio alipoingia...... Na pale alipokashika kale ka komentetaAisee acha tu amshukuru Stephanie.. Lina nguvu..nimecheka pale kwenye keki tu ha ha ha
Ha ha ha boka t mbaya kampush mwenzake chin..Daah mi nimecheka pale studio alipoingia...... Na pale alipokashika kale ka komenteta
Utafikiri hakuwaga mpiganaji.....Ha ha ha boka t mbaya kampush mwenzake chin..
Ha ha ha chezea kichapo.Utafikiri hakuwaga mpiganaji.....
Unaangalia kwenye azam nini ndugu?Mbona juzi kupigwa na Brock Lesnar
Poa mkuu..........Unaangalia kwenye azam nini ndugu?
Tafuta monday night raw ya 15th january 2018 uone brock alivyofanyiziwa
Kwenye king'amuzi cha statimes chanel ya e tv south africaLeo hakuna wrestling wadau?????
Dah kweli WWE ilikuwa zamanhii PG Era hapana kwangu aisee , nimemis the Golden era.. enzi za wakali akina DX, Steve Austine , the rock, Undertaker , na wakali wengine .. sasa ivi WWE hamna kitu .. sasa ivi nimehamia UFC ... HUKU NDO SHUGHULI Ipo. Hii PG ya watoto
e.tv mkataba wao na WWE uliisha!!....Wameshaanza kuonyesha tena?Kwenye king'amuzi cha statimes chanel ya e tv south africa