shule ipo rchuga na so mererani fulu ukame utanijibu 2 maj hakuna umeme jiandae na kibatari so fanced vumbiiiii high temprature kaa unaangalia utabr wa hali ya hewa unaonaga k.i.a ndo ipo karb jiandae kuoga mara moja kwa wiki au kama ulishaangaliaga bunge kpndi mbunge nasari akitoa picha kuhusu ukata wa maji ndo location yake ilikuwa huko dah mwana nakuonea huruma dah
kama ataenda hapo ajiandae na blue bahar uniform na shat jeupe ila ngoja niendelee kukupa info. Last year walikujaga kupga frnd match na sisi dah wengi walitamani kubak xcul kwetu ila haikuwezekana waliyapenda mazngira
ila unatakiwa ufikirie labda kwa sasa washaweka miundombinu fresh coz sasa hv inamilikiwa na OWN TAMISEMI kwa hyo kaichek 2
ushaur wangu kusoma ni moyo ndugu yangu