Wadau Wa Hiliki Tukutane hapa

Jskinondo

Member
Jan 9, 2020
36
34
Habari za leo, natumaini nyote mpo vizuri.
Kama kichwa kinavyo someka, lengo kuu la kutaka tukutane hapa ni kuwaambia wadau wanaoitaji kununua iliki kuwa mzigo upo wa kutosha.

Hiliki inapatikana kwa jumla na rejareja, bei ya reja reja ni 25000 kwa kilo na bei ya jumla ni 22500 kwa kilo.

Kwa anaye hitaji tuwasiliane kupitia 0746756229.

Note: Naitaji watu wanao hitaji hiliki sio madarali wa hiliki. Nasema ivo sababu wapo walio sema wananua iliki tukapanga waje waone mzigo baada ya kuona mzigo kumbe hawana ela,walitumwa na maboss matajiri waje waone mzigo then wanatumiwa ela.
Matokeo yake mzigo wame uona lakini ela hawakutumiwa finally wanakosa ata nauli ya kurudi kwao.

Leo nitawahifadhi ila wakija madarali tena next time nitawataja majina na sehemu waliko toka.

IMG-20200708-WA0010.jpeg
 
Darali ni mtu anaye kaa kati ya mnunuzi na muuzaji kwa lengo la kupata maslahi.

Sio mbaya akipata maslahi shidah wengi hawana ela wanategemea kuja kuona mzigo ndo watumiwe ela na maboss wao kitu ambo ni kigum.

Ni vema kama wanataka kuwa second boss wapewe ela kabisa sababu ukishafika shamba kinacho takiwa ni ela sio maelezo kuwa boss atatuma.
Madarali ndio wakina nani mkuu...?
 
Oooh Owkay sawa nashkuru boss...!
 
Nawatafuta wauzaji wa hii bidhaa, wanaosafirisha nje, ukiwapata nami nijulishe @ 0786711786

Green Cardamon CIF KARACHI OR PORT OF AFGHANISTAN

Qty TBA by seller

Origin ANY except India

Size 7-8mm

Payment TBA by seller

Quick action is needed.
 
Ni MADALALI.

Ingawa hao Watu wanaofunga safari mpaka huko na mwishowe wanakosa nauli sidhani kama ni Madalali bali ni Matapeli....Jifunze kutofautisha vinginevyo utalizwa Mkuu...Kuna Madalali makini na wanakufanyia biashara yako kwa uaminifu kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom