Wadau wa "evolution "

Vivax

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
517
180
Hivi kupitia nadharia ya ""evolution " kati ya kuku na yai nini kilianza kuwapo?
 
Hakuna kitu kama Evolution.Ni mpumbavu tu anayeweza kuamini ujinga kama huo.Kuku ndiye aliyeumbwa by the "Word" of the living God.Chochote kingine tofauti na ukweli huu ni upotoshaji wa Shetani.
Hivi kupitia nadharia ya ""evolution " kati ya kuku na yai nini kilianza kuwapo?
 
Back
Top Bottom