Wadau wa elimu pitieni hapa

Wadau wa elimu pitieni hapa

Maisha ya chuo kikuu ni magumu sanaa, waone tu wanaohitimu, kutwa tunakula mlo mmoja, usiku unakula chai na mihogo unalala,, ndio maana wanavyuo wa saizi hawaoni umuhimu wa kusoma tena, mfumo mbovuu, serikali haijar, siasa nying ,ajira ndio hivoo tenaa,,... Saizi hakuna umuhimu wa kusomaa.. Mtu anaona bora afanye biashara akiwa chuo..kuliko kukomaa na midesa gpa zitajulikana hukoo
 
Back
Top Bottom