Teh teh teh raha tupu darajani kama Yanga
DAR YOUNG AFRICAN na THE BLUES raha tupu.
Benitez anatuzingua, ila habari njema kwa wadau wote ni kuwa "THE SPECIAL ONE" anarudi na anakuja na R.Falcao. Nimesoma kwenye mtandao kocha wa Young boyz yaan ARSENAL ameisha anza kuhaha... Big up to all Chelsea fans.