Wadau wa Android tukutane Arusha Technical College

Technohama

Member
Joined
May 2, 2014
Posts
14
Reaction score
1
Habari wadau.

Wale wanaopenda kujifunza kutengeneza Apps za Android tukutane Arusha Tech kutakua na course itakayoanza 18/08/2014 kwa wiki moja na bei ni sh 80,000/= tu hio ni phase 1. Na phase ya pili itaanza tar 25/08/2014 kwa wiki mbili bei ni sh 100,000/=

Nimeattach tangazo kwa info zaidi.

Baada ya kozi nini kinaendelea sasa kuna cheti?

Na wanaotoka mbali kunautaratibu gani kuhusu maradhi na chakula?
 
Baada ya kozi nini kinaendelea sasa kuna cheti?

Na wanaotoka mbali kunautaratibu gani kuhusu maradhi na chakula?

Washiriki wote watakabidhiwa cheti baada ya kumaliza kozi. Kuhusu hostel utaratibu unaweza kufanyika kwa atakayetoka mbali.
 
Washiriki wote watakabidhiwa cheti baada ya kumaliza kozi. Kuhusu hostel utaratibu unaweza kufanyika kwa atakayetoka mbali.

Sentensi yako bado inaualakini embu toa maelezo ya uhakika juu wa watu watakao toka mbali kama hostel zipo malipo yako juu ya nani?
 
i learn myself how to create apps, xo gud work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…