Wadau tupeane mbinu ya kitu hii

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
1,505
671
nina halotel H6307.



tatizo la kasimu hana ni lazima kawe na line ya halotel ...kana line mbili... sharti ni kuwa lazima slot moja iwe na line ya halotel...kitu ambacho siyo kabisa.... mwanye ujuzi kuflash haka kasimj ili kawe kanatumia line zoote bila ya halotel... msaada please
1562074608039.jpeg
 
Back
Top Bottom