Uko Dodoma sehemu gani? Umepanga ama unaishi kwa ndugu? Ukiwa na uwezo wa kupata ama kuwa na laki tatu hata ya kuazima mahala naweza nikakupa fursa na skills za biashara fulani for free na kutumia hicho kiasi cha pesa kama mtaji. Elimu yetu haituandai kuja kujitegemea, rather kuwa tegemezi.Hakika mambo yanazidi kuwa tough hii mitani tena kwangu imekuwa kama sumu iuayo taratibu as time goes on nakuwa frustrated sana. Niko Dodoma now mwezi wa tatu sasa baada ya kutoka mbeya kuja kufanya interview hapa na sikufanikiwa kupata kazi niliamua kubaki hapa ili niweze kujaribu kutafuta kibarua hapa ila nkmekosa. Wadau nipeni connection nisaidieni tafadhali.
Hapa nilifikia kwa jamaa tulipiga nae advance kwao ni hapahapa dodoma mkuu. kuhusu mtaji huo kama ulivyosema nimeipenda sana idea yako tatizo kwa kuitoa hiyo laki tatu sasa maana sasa hivi watu hawakopeshi hela kabisa awamu hiiUko Dodoma sehemu gani? Umepanga ama unaishi kwa ndugu? Ukiwa na uwezo wa kupata ama kuwa na laki tatu hata ya kuazima mahala naweza nikakupa fursa na skills za biashara fulani for free na kutumia hicho kiasi cha pesa kama mtaji. Elimu yetu haituandai kuja kujitegemea, rather kuwa tegemezi.
Ndugu kuhusu mtaji kwa vijana itakuwa tatizo.Uko Dodoma sehemu gani? Umepanga ama unaishi kwa ndugu? Ukiwa na uwezo wa kupata ama kuwa na laki tatu hata ya kuazima mahala naweza nikakupa fursa na skills za biashara fulani for free na kutumia hicho kiasi cha pesa kama mtaji. Elimu yetu haituandai kuja kujitegemea, rather kuwa tegemezi.
mkuu ungejarabia kuweka wazi zaidi itatusaidia wengiUko Dodoma sehemu gani? Umepanga ama unaishi kwa ndugu? Ukiwa na uwezo wa kupata ama kuwa na laki tatu hata ya kuazima mahala naweza nikakupa fursa na skills za biashara fulani for free na kutumia hicho kiasi cha pesa kama mtaji. Elimu yetu haituandai kuja kujitegemea, rather kuwa tegemezi.