Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,489 Reaction score 38,389 Oct 22, 2018 #1 Leo ni kama siku ya 3 kila nikipitia comments ya page nilizozilike fb sion comments zaidi ya zile ambazo waliocomment ni rafiki zangu... Vip hii ni kote au acc yangu ndo ina shida?
Leo ni kama siku ya 3 kila nikipitia comments ya page nilizozilike fb sion comments zaidi ya zile ambazo waliocomment ni rafiki zangu... Vip hii ni kote au acc yangu ndo ina shida?
L004 JF-Expert Member Joined Oct 30, 2017 Posts 200 Reaction score 204 Oct 22, 2018 #2 log out ,clear cache and data then log in again
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,489 Reaction score 38,389 Oct 22, 2018 Thread starter #3 L004 said: log out ,clear cache and data then log in again Click to expand... Nimefanya hivyo bado ni yale yale....
L004 said: log out ,clear cache and data then log in again Click to expand... Nimefanya hivyo bado ni yale yale....
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,986 Reaction score 189,584 Oct 22, 2018 #4 Alert Hiyo Unatakiwa Kurudi Jf Kwa Nguvu Yote Boss
L004 JF-Expert Member Joined Oct 30, 2017 Posts 200 Reaction score 204 Oct 22, 2018 #5 gwankaja said: Nimefanya hivyo bado ni yale yale.... Click to expand... REPORT kwa facebook support
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,489 Reaction score 38,389 Oct 22, 2018 Thread starter #6 L004 said: REPORT kwa facebook support Click to expand... Nimeupdate app naona imekaa sawa....
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,976 Reaction score 36,078 Oct 23, 2018 #8 Unatumia fb mpaka leo????