Wadau picha hii inatufundisha nini?

FUKO LA DHIKI

JF-Expert Member
May 8, 2011
428
225
mambo.jpg
Wewe njooo mbona unanikimbia?
 

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,153
2,000
Njoo uchukue... "staki nikamate kwanza "

Njoo uchukue .. "staki hata ukinikamata "..
 

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
986
250
ndo staili za mademu, ukiwa unawatafuta wanakuwa na pozi ukiwapa amira wana kuwa wapole alafu wanaume ndo wanaanza kukimbia

LOL
 

sawabho

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
5,296
2,000
Kukimbia majukumu ambayo ulitumia ushawishi wa hali ya juu kuyapata. Wakati ukimtafuta ulimfuata kokote alikokuwa sasa majukumu yanakuja unakimbia, hapo bado, kazi sio kulea hicho alichonacho bali atakacholeta.
 

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
2,209
1,225
x9yJL+gmEXqYwAAAABJRU5ErkJggg==


hahahaha..!
yani mabinti wakiwa wabichi wanaringa ile mbaya mpaka umpate..???

lakini wakizeeka wanaanza wao kutongoza...! heheheh