DVD reader help

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
wadau kwema??
natumia sony VGN-CR220E, Tatizo lake huja pale napotaka ku instal/repair window, yani haisomi kabisa ila CD zingine za DVD zinasoma kama kawa, na hata CD za kawaida zinasoma,that means siku hizi nikitaka kucheza na window lazma nitumie usb bootable au external CD room, naombeni msaada labda kama ni driver za kufanyia instalation au kuna namna nijikwamue, shukrani mbele kama mjerumani na Tai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom