Wadau nijuzeni kuhusu biashara zanzibar

Wadau nijuzeni kuhusu biashara zanzibar

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Wadau nijuzeni kuhusu biashara ya electronic zanzibar iko aje na where to start... halafu mie nshazoea Dar full kula bata.. ila huku hata beer sijaona hata sehemu moja hata hotel niliopo ni maji na soda nipen viwanja wadau..
 
Kaka hala halal usije ukachomewa biashara yako au kumwagiwa tindikali,huko kuna wenyewe kaka
 
Kaka huku jamaa wametulia ila hizo habar wanzichakachua mpaka basi....!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wadau nijuzeni kuhusu biashara ya electronic zanzibar iko aje na where to start... halafu mie nshazoea Dar full kula bata.. ila huku hata beer sijaona hata sehemu moja hata hotel niliopo ni maji na soda nipen viwanja wadau..

Kuwa specific maana unamix mambo mara biashara mara "viwanja"!, nini unataka kufahamu? Unataka kununua au kuuza vitu? Unataka kuanzisha biashara Zbar?
 
Kuwa specific maana unamix mambo mara biashara mara "viwanja"!, nini unataka kufahamu? Unataka kununua au kuuza vitu? Unataka kuanzisha biashara Zbar?

Cyberteq ebwana nahitaji kufahamu vitu hivi mkuu..
1. Biashara hasa kununua electronic device like radio, tv, simu, na kupeleka kuuza bara..
2. After kazi u need to refresh.. wapi pa kuondoa stress..
over nawasilisha kwako mkuu..
 
Back
Top Bottom