Wana JF
Nililima hekta kadhaa za Alovera huko mkoani Dodoma. Baada ya mavuno, nimepata magunia 370 ambapo kila gunia moja lina ujazo wa debe 10. Natafuta mteja au yeyote anayejua mahali nitakapoweza kupata mteja. Gunia moja nauza kwa
tsh 200,000 tu.
Kwa mawasiliano no 0786 29 45 45
Karibuni