Davey 2017
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 109
- 133
Wadau naombeni ushauri wa kubadilisha engine, Naomba watoa ushauri wawe wanazijua vizuri engine siyo wagaga gigi koko.
Gari ina Engine ya 1JZ GE kavu
Nafikiria kuitoa na kuweka 1JZ GE yenye vvti ( siyo ya brevis ambazo ni 1JZ FSE na D4)
Ama niweke 1G FE kavu, aina ya Gari ni mark ii.
1JZ GE imetumika kwenye hili gari takriban miaka 7 hivi bila major issue hadi january hii.
Ipi ni bora 1G FE kavu ama 1JZ GE yenye vvti, nabandika photos za injini zote tatu