Dionisemar66
Member
- Apr 28, 2018
- 8
- 3
1 Kwanza kabisa utofauti uliopo kati course ya law enforcement na law yenyewe
2. Napenda kufahamu zaid juu ya judge anasoma coz gan na anakua na elimu gan mpak kuitwa judge
3. Utofauti wa kazi ya wakili na hakimu
Naomba msaada wa maoni kutokana na uelewa wenu wakubwa.
2. Napenda kufahamu zaid juu ya judge anasoma coz gan na anakua na elimu gan mpak kuitwa judge
3. Utofauti wa kazi ya wakili na hakimu
Naomba msaada wa maoni kutokana na uelewa wenu wakubwa.