Wadau naomba msaada whatsapp jamming

Wadau naomba msaada whatsapp jamming

chimbulumbulu

Member
Joined
May 29, 2013
Posts
22
Reaction score
21
Naomba msaada namba yangu ya tigo nimejiunga na whatsapp, lakini kuna mtu kwa sasa naye anaitumia na kwangu imefungwa kabisa, inasema inatumiwa na simu nyingine. Mbaya zaidi anaitumiwa kwa udanganyifu na wizi,anawatumia watu sms za kuomba pesa na watu wanampatia,nimelikundua siku nne zilizopita baada ya kuona profile yangu iko picha ambayo sijaiweka mimi
 
Ripoti Customer Service Wako (tigo) Na Ripoti Polisi Haraka.
 
kwa sasa sitoweza kuripoti customer service wala polisi coz nipo nje ya nchi ndio maana nikaomba msaada kama itawezekana
 
Back
Top Bottom