Wadau naomba msaada wenu katika jambo hili

Henry Philip

Senior Member
Joined
Jul 29, 2008
Posts
113
Reaction score
32
Habari za leo wadau; nina mada naomba niwasilishe kwenu ili nipate ushauri wenu. Mimi kama mwanachama na mkereketwa wa CDM/M4C nahitaji kutoa mchango wangu kwa watanzania wenzangu namna ya kusaidia ktk uboreshaji wa chama katika kutangaza harakati za kujikomboa kutoka ktk umaskini, na pia kueneza elimu ya uraia kwani zote mbili (elimu ya uraia na kupambana na umaskini) vinaendana naomba mchango wenu namna gani nzuri zaidi naweza toa mchango wangu kwa watanzania wengi zaidi
 
Nami Pia nahitaji kujua jinsi ya kusaidia vijana wenzangu kuungana na kuikwamua nchi hii kutoka kwenye makucha ya mbwa mwitu CCM.Preliminary Initatives
Habari za leo wadau; nina mada naomba niwasilishe kwenu ili nipate ushauri wenu. Mimi kama mwanachama na mkereketwa wa CDM/M4C nahitaji kutoa mchango wangu kwa watanzania wenzangu namna ya kusaidia ktk uboreshaji wa chama katika kutangaza harakati za kujikomboa kutoka ktk umaskini, na pia kueneza elimu ya uraia kwani zote mbili (elimu ya uraia na kupambana na umaskini) vinaendana naomba mchango wenu namna gani nzuri zaidi naweza toa mchango wangu kwa watanzania wengi zaidi
 
unaweza ugaidi,we nimchaga,unavigimbi vya kuandamana kama sawa karibu m4 ugaidi
 
Back
Top Bottom