ExpressCard is an interface to allow peripheral devices to be connected to a computer, usually a laptop computer. Formerly called NEWCARD, the ExpressCard standard specifies the design of slots built into the computer and of cards which can be inserted into ExpressCard slots. The cards contain electronic circuitry and connectors to which external devices can be connected. The ExpressCard standard replaces the PC Card (also known as PCMCIA) standards
kama hiyo card reader inaweza kusoma data za laini ya simu (SIM) na kufanya kazi!!! Najua zipo baadhi ya laptop ambazo zina slot ya kuwekea line ya simu mojakwamoja na ikafanya kazi kama modem (inbuilt modem) ila kwa kutumia card reader..!!??? mmmh......!!!
Unaweza kuongeza vifaa kwenye PC yako, ni format ya zamani kidogo siku hizi karibia kila kitu kinapatikana in USB form, ila hiyo PCMCIA slot unaweza kuchomeka USB card ukapata USB ports nyingi zaidi, au Firewire kama una kazi nayo.