heshima kwenu wadau,
wakuu wiki moja sasa imepita tangu nitume pesa kwenda nchini China kwenda kwenye kampuni noja inayodeal na bidhaa za computer, hii company inaitwa New Way Trade Co,. Ltd na wanatumia web www.newwaytrade.com lakini tangu nikamilishe process za kutuma pesa kwa njia ya TT sipati tena mawasiliano na hawa jamaa, wadau kama kuna mtu mwenye data zaidi kuhusu hii kampuni, ,maana nahisi tayari nimeshaibiwa.

hee! duuu...wewe ni zaidi ya muarubaini!!heshima kwakoduh! acha nipeleke hili jina la website kwa mganga wa kienyeji atusaidie. hapa inabidi tuwe sirias.
heshima kwenu wadau,
wakuu wiki moja sasa imepita tangu nitume pesa kwenda nchini China kwenda kwenye kampuni noja inayodeal na bidhaa za computer, hii company inaitwa New Way Trade Co,. Ltd na wanatumia web www.newwaytrade.com lakini tangu nikamilishe process za kutuma pesa kwa njia ya TT sipati tena mawasiliano na hawa jamaa, wadau kama kuna mtu mwenye data zaidi kuhusu hii kampuni, ,maana nahisi tayari nimeshaibiwa.
you must be crazier than you think!!! ule matandao mbona E-mail za yahoo na hotmail ndo zimetawala?
Kama if they were serious they could use their own E-mail adresses, na sio za yahoo na hotmail. gor whar am saying??
In short you are done!!!