Wadau na wenyeji mnaoishi Kahama

Wadau na wenyeji mnaoishi Kahama

Nawiki mbili sahivi Niko kahama nilikuwa nasikia tu kuna mtaa kahama unaitwa Bija, leo imebidi nimwambie mwenyeji wangu tutembelee hiyo mitaa kwa kweli niliyoyaona ni shiiida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahaaaaaaaa. Mkuu pale kuna wauza papuchi

Hadi hapo usipoelewa basi potezea. Kesho nkipata chance ntapiga pic af ntupie sema nadhan saahiv serikali inawazingua coz nna muda sijapita maeneo hayo
Bija ni kifupi cha BIJAMPOLA kwa kihaya tafsiri yake ni mahali penye papuchi tamu.
Kuna wahaya wengi sana pale Bija.
 
mm nimesoma Kahama Korogwe na baadae Kahama school. sec nimesoma Kishimba
Na mimi nimesoma shule hizo hizo umenikumbusha walimu wangu Rugakingira,Chandika,Otieno na Sekondari Mkuu Mwita,Mabeyo,Lushingisha,Dora.
 
Na mimi nimesoma shule hizo hizo umenikumbusha walimu wangu Rugakingira,Chandika,Otieno na Sekondari Mkuu Mwita,Mabeyo,Lushingisha,Dora.
Daaaah..

Mm nlisomea kahama school ila walimu hata nshawasahau ila namkumbuka mwl fln alikua anaitwa Mwl Mbagale, alitishia sana amani enzi hizo pale khm school
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Bija ni kifupi cha BIJAMPOLA kwa kihaya tafsiri yake ni mahali penye papuchi tamu.
Kuna wahaya wengi sana pale Bija.
Haaahaaa

Kumbe hilo jina halikuja tu from 'nowhere',

Linabeba maudhui ya shm hio. Na hio inamaanisha hio shm ni maalum kwa hizo mishe tangu zamani. Daaahh Wahenga Shikamoo
 
Daaaah..

Mm nlisomea kahama school ila walimu hata nshawasahau ila namkumbuka mwl fln alikua anaitwa Mwl Mbagale, alitishia sana amani enzi hizo pale khm school
Nampata huyo alikuwa anachapa balaaa hakuachii mpaka ulie alikua anakaa Malunga ndugu zangu wamesoma hapo.
 
Nampata huyo alikuwa anachapa balaaa hakuachii mpaka ulie alikua anakaa Malunga ndugu zangu wamesoma hapo.
Haaahaaaaaaa exactly. Huyo ticha alikua balaa aisee yaan naweza sahau waalimu wote hadi hata ikitokea nasahau lecturers ila mwl Mbagale sitokaa nimsahau, alisumbua sana kpnd hiko
 
Na mimi nimesoma shule hizo hizo umenikumbusha walimu wangu Rugakingira,Chandika,Otieno na Sekondari Mkuu Mwita,Mabeyo,Lushingisha,Dora.

Otieno nampata, mke wake ni Nurse pale hospitali ya mji. Chandika alihamia Mhongolo miaka ya 2003, jamaa ni kama alikua na stress fulani na maisha yake maana alichokua anajua yeye ni kutumia fimbo kwenye kila kitu, lakini nadhani baadae alifuata kile anachokipenda maana naskia alienda kusoma Clinical Medicine akawa Tabibu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kahama japo nimesoma Advance secondary ila mji siujui sana. Na hata leo hii mitaa bado siijui. Kahama Secondary, Mbulu msalabani hapo, shule ya askofu Chuwa.
 
Wadau wa Kahama tupieni basi vipicha basi.
 
Back
Top Bottom