Wadau munalionaje Mwananchi kuelekea Oct. 25?

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Mimi binafsi naona tofauti kubwa sana kati ya Mwananchi niliyoijua miaka kadhaa iliyopita na hii ya siku chache zilizopita. Kuna tofauti kubwa ya reporting...

Wewe unaonaje???
 
Hueleweki, kuwa wazi basi,
We ukawa nini?
 
Mimi binafsi naona tofauti kubwa sana kati ya Mwananchi niliyoijua miaka kadhaa iliyopita na hii ya siku chache zilizopita. Kuna tofauti kubwa ya reporting...

Wewe unaonaje???
sema kwanza wewe unavyoliona ndiyo upate maoni yetu
 
utofauti ni mkubwa sana, kwanza vichwa vyao vya habari vina ukakasi ambavyo ukisoma ndani habari ni tofauti na kichwa chake.
wamenunuliwa hawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom