wadau msaada wa serial number za idm

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
Habar za ijumaa tulivu
wadau naombeni mnisaidie, nina software ya idm ambayo niikuwa naitumia lakini kwa sasa inaniambia imeisha muda wake na hivyo inatakiwa serial number, nimejaribu kutafuta kwenye mtandao nilipoiactivate ikaniambia fake serial number, naombeni msaada wenu
 
ni ngumu kupata key cha msingi nenda jf store zipo ambazo zimekuwa patched ila tu usifanye update na utatakiwa kuitoa kwanza hiyo ndio uweke mpya
 
Ndugu pitia post hii unaweza kutumia IDM daima kwa njia ya cracking.

 
Ndugu pitia post hii unaweza kutumia IDM daima kwa njia ya cracking.

duuuuuuuh mkuu maelekezo yamenipiga chenga, si mtaalam sana kwenye IT, hata hilo file la winrar nashindwa kulifungua
 
duuuuuuuh mkuu maelekezo yamenipiga chenga, si mtaalam sana kwenye IT, hata hilo file la winrar nashindwa kulifungua
download program ya win rar, kama unayo tayar, right click ilo file then sema extract here.. Lifungue ndan utakuta install notes..zisome sitakulekeza hw to install
 
duuuuuuuh mkuu maelekezo yamenipiga chenga, si mtaalam sana kwenye IT, hata hilo file la winrar nashindwa kulifungua

Ndugu Jeff kuna mambo hayahitaji uwe IT, kikubwa ni kutumia uwezo wako wa kufikiri. Mfano ukishishadownload IDM. Utainstall Winrar. Kisha utarightclick kwenye idm file then unachagua "Extract here". Baada ya hapo fuata maelekezo ya hapo juu. Pia hiyo IDM ni version ya mwaka huu hivyo udiwe na wasiwasi kuhusu Intergration kwenye browsers.
 
Last edited by a moderator:
thank you wadau, ngoja nijaribu tena
 
thank you wadau, nimefanikiwa, ila sasa inaniambia kuna new version vipi naweza ku update? haitaniharibia?
 
Ila bado inaendelea kunipa taarifa kuwa bado siku 8 yaani muda wa ile ya zamani unaendelea kuhesabu. Si itajifunga hii? Msaada hapa
 
Haitakiw ui update



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Haitakiw ui update



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Sija update. Nlikua na ya zamani inayohesabu kawaida ila nkaona hii ya kucrack haiishi muda nkatoa ile nikaweka hii. Sasa bado inaendelea na countdown. Nifanyeje?
 

Naomba msaada hapa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…