Ukiwa na Mpeg4 na dishi ukalitega degree36 ku-band utazipata kiulaiiiini bila jasho channel zaidi ya 10 ikiwemo na hiyo Tbc1 mi jana nimeangalia zangu mpira Stars Vs Morocco.
kwa sasa tbc1 inapatikana kwenye sat kadhaa bure, intelsat904, intelsat28, eutelsat 36A (pale inapopatikana ATN) na intelsat906(ingawa wenye madish ya 6ft haipatikan).