Kama unatumia Receiver ya mpeg4 unaweza kuipata kwa kupitia Ku-band degree 36E kiulaiini najua unataka kuangalia bunge kaka. Tofauti na hapo tafuta dish kubwa ft8 na kuendelea.
DISH LA KU LA 90cm unaweza kuipata 36E? Na je kuna chnls zipi kwa ujumla ambazo ni FTA? Tafadhali nijuze. Natanguliza shukurani.
Asallam alaykhum ndugu zangu,jamani vp wenzangu,siipati tbc kabisaa,natumia eurostar 6ft dish,strong receiver SRT 4653X,nyingine zoote nazipata,kuna nn wenzangu na nn nifanye

Nunua king'amuzi
Kaka ni kweli TBC haipatikani kwa muda sasa kwenye Dish. Lakini tafuta fundi akuwekee frequency mpya maana wamebadilisha.