Wadau msaada tafadhali

EnvyPearl

Senior Member
Dec 23, 2018
170
351
Ni njia zipi au dawa ambazo anaweza kutumia mtu anaesumbuliwa na tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara...msaada tafadhali
 
Kuna majani yanakuota sana sehemu zenye maji yanakua yamesongamna sana madogo madogo.
 
Back
Top Bottom