Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,828
- 32,732
Habari za jion.
Hii kesi ya ndugu David Kafulila inanitatiza sana. Kwa nini isikilizwe mahakamani tabora badala ya kigoma? Kwasababu kafulila aligombea ubunge kigoma na uchaguz ukafanyika huko. Ina maana kigoma hamna mahakama na majaji ama hakimu? Kama zipo, tabora Ina uzito gani katika maswala ya sheria hadi isimamie Hii kesi. Nakumbuka sheikh ponda alisafiri kutoka Dar kwenda Moro kusikiliza kesi yake Kwasababu tukio lilitokea Moro.
Swali la nyongeza je hivi bado kafulila ni marafiki wakubwa na zito? Nakumbuka 2010 kwenye kampen zito alimpiga tafu sana dogo hata nakumnunulia magari ya kampen ikaleta hata minongono miongon mwa wanachadema Kwa nini zito amsaidie kafulila ambaye alijivua uanachama chadema na kwenda NCCR? Wanajadema walinongona.
Kwa sasa zito kimya hata kampen ya 2015 alikua mbali na dogo ni nini kimewafanya wawe mbali mbali?
Natanguliza shukrani