Wadau maisha yanazidi kuwa magumu

Wadau maisha yanazidi kuwa magumu

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
407
Reaction score
896
Habar wadau
leo nimeenda gengeni kununua nyanya
Mambo yakawa hv!!

Hizo ndo nyanya za jero!!!
IMG_20190702_124729_1.jpeg
 
Daah we ndugu umenifanya nicheke mbele za watu mpaka aibu!!!you make my day
 
...ulitakiwa uzishike shikeeee.....mara nyingi wanazipaka mafuta zing'aeee....ukizubaa wanakuchanganyia hizoo kwenye nzimaaa....HIYO NI AINA MOJAWAPO YA UPIGAJIIi

aina ya pili ni ile ya kuegesha nyanya/vitunguu/viazi/embe..... kuanzia katikati ya sado hadi juu, we ukifika unakubali faster, kumbe ushapigwaa

pole, next time jitahidi kufumbua machooo
 
Yaani wewe umependelewa. Nyanya za jero ni 3 tu. Nyanya moja ni mia mbili.
 
Yakizidi kuwa magumu unaachana nayo unafanya mishe nyingine... Kwanini usumbuane na kitu kisichokuelewa?
 
You're not a failure until you stop trying. If you have no other testimony you have this one: "I'm still here.
 
...ulitakiwa uzishike shikeeee.....mara nyingi wanazipaka mafuta zing'aeee....ukizubaa wanakuchanganyia hizoo kwenye nzimaaa....HIYO NI AINA MOJAWAPO YA UPIGAJIIi

aina ya pili ni ile ya kuegesha nyanya/vitunguu/viazi/embe..... kuanzia katikati ya sado hadi juu, we ukifika unakubali faster, kumbe ushapigwaa

pole, next time jitahidi kufumbua machooo
Huo ni ushahidi tosha kwamba Wabongo wengi tuna roho mbaya, tena haswa wa huku chini kwa kina kajamba nani...maana hao wa juu huko including Wanasiasa hawaji huku.

Mtu unamfanyia mauza uza Mhangaikaji mwenzako, pesa yenyewe ya mawazo, ni roho mbaya tu kama wafanyavyo Majambazi wengine.
 
Siku hizi natunza mifuko, yaani ikichafuka naifua vzr. Kusema ukweli suala la kununua mfuko kila siku linanipa shida
Mmekuwa na akili sana, namuona Mrs anahangaika kuifua na kila akienda sehemu anaweka kwenye mkoba.
 
Mmekuwa na akili sana, namuona Mrs anahangaika kuifua na kila akienda sehemu anaweka kwenye mkoba.
😀😀😀 Imagine mfuko ni 500 hlf km una mzigo mzito ni haifai so wa 1000 utakuhusu
 
Back
Top Bottom