Wadau maisha yanazidi kuwa magumu

Wadau maisha yanazidi kuwa magumu

Jero ni nyanya mbili tu, moja mia tatu na noja mia mbili
 
Umenikumbusha kibao cha dr remmy ongalla mkuu narudi nyumbani.. [emoji441][emoji444]ohooo narudi nyumbani nakwenda kuungana na wazeee, maisha ya darisalama si mchezo, narudi songea eeh, nakwenda kula likolo la nyungu[emoji444][emoji441][emoji328]
 
Back
Top Bottom