Wadau! Kilalo kimeniandama! Ushauri .

mmmh . . . ???

Mie sina ushauri.
Hayo mambo ya kikubwa hata siyasemei!

Bonge wewe! Bonge!
Mkubwa mwenzangu, ukihepa kunishauri haya unasubiri yepi ? Na humu sitowahi kuja na agenda kama vile "mnisaidie maelekezo ya kilimo! Kupanda kwa mistari" au "nyumba inapakwaje rangi" na yafananayo na hayo.
So far we jitoe fahamu ! Na hayo maexpiriensi yako we yavundike tu! Bt refar yatakuozea tu!
 
Akhuu!!
Usinikuze mie.

Nina maexperience ya seminari tu, hivyo vya kwenu mi sivijuagi!
 
Hujasema bado! Jishaue tu
kama hukuvijua kwenye seminari ya kiinglishi , utakuja vijua kwenye seminari ya kijapani .
Kisha mwenyewe utanyoosha maelezo! Kwani utamaliza seminari ukiwa mkufunzi kama si mfawidhi .
 
Heheheheeee. . . .mie kakondoo ka mama mchungaji
ebu niachege bana!!

Haya . . . . hao jirani zako na leo wanaendelea au amepumzika??
 
Eebana leo kwa mara ya kwanza wameni award excuse duty! Pamekua silency probably thought habari za kule kwa Neil Armstrong alikokwendaga zaweza husu!
 
Back
Top Bottom