Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,388
Tunasubiri movie nyingine mkuu.Hivi umesikia tena ule msako wa vyeti feki ?
Hii ni Saturday Night Special."Mtu mzima na akili zako unaamka asubuhi kisha unaingia bafuni unaogo unaingia chumbani kwako unapiga suti yako na tai alafu unaingia kwenye gari ya serikali unaelekea ofisini."
"Unaingia ofisi ya umma unaanaza kutekeleza majukumu yako(unapitia mafaili,n.k) huku ukipata kikombe cha chai na vitafunwa kwa kodi za wananchi alafu kumbe una cheti feki na wala hushituki japo unanyooshewa vidole huku tuhuma umeshindwa kuzikanusha na usingizi unapata sio nyumbani tu bali sometimes hata kwenye kochi ofisini kwako"
Alafu Jumapili ikifika huyo kanisani!!
Only in Tanzania!
hizi ni dalili za vyeti fekiNami naongezea swali, je inawezekana kutokea huko duniani, una na mtu unamtangaza kua ni fisadi kwa miaka saba au nane kua ni fisadi mkubwa, aogopwe kama ukoma, atakae muunga mkono akapimwe akili, alafu ghafla huyo mtu unamchukua kua mgombea Urais, alafu wewe uliekua una mnadi kama fisadi, Leo unasema sio fisadi,
Je kwa wenzetu ambao hawafikirii kwa kufikiria matumbo yao je inawezekana kubadili gia angani
"Mtu mzima na akili zako unaamka asubuhi kisha unaingia bafuni unaogo unaingia chumbani kwako unapiga suti yako na tai alafu unaingia kwenye gari ya serikali unaelekea ofisini."
"Unaingia ofisi ya umma unaanaza kutekeleza majukumu yako(unapitia mafaili,n.k) huku ukipata kikombe cha chai na vitafunwa kwa kodi za wananchi alafu kumbe una cheti feki na wala hushituki japo unanyooshewa vidole huku tuhuma umeshindwa kuzikanusha na usingizi unapata sio nyumbani tu bali sometimes hata kwenye kochi ofisini kwako"
Alafu Jumapili ikifika huyo kanisani!!
Only in Tanzania!
Hahahaaa umenifurahisha mkuuhizi ni dalili za vyeti feki
Hili jibu linatoa maono kwamba hili linalosemwa ni kweli.... Basi tuwawajibishe wote. Ishakuwa kero sasa.Nami naongezea swali, je inawezekana kutokea huko duniani, una na mtu unamtangaza kua ni fisadi kwa miaka saba au nane kua ni fisadi mkubwa, aogopwe kama ukoma, atakae muunga mkono akapimwe akili, alafu ghafla huyo mtu unamchukua kua mgombea Urais, alafu wewe uliekua una mnadi kama fisadi, Leo unasema sio fisadi,
Je kwa wenzetu ambao hawafikirii kwa kufikiria matumbo yao je inawezekana kubadili gia angani
Tupe ukweli mkuuYule ameteuliwa na Rais akutafuta kazi kwa kuwasilisha CV na kufanya interview bahati mbaya Watanganyika wanamuona Mange Kimambi kama ni Google kwamba kila kitu anajua wakati si kweli
Vp mahakama ya mafisad hapelekwi au haipo?Nami naongezea swali, je inawezekana kutokea huko duniani, una na mtu unamtangaza kua ni fisadi kwa miaka saba au nane kua ni fisadi mkubwa, aogopwe kama ukoma, atakae muunga mkono akapimwe akili, alafu ghafla huyo mtu unamchukua kua mgombea Urais, alafu wewe uliekua una mnadi kama fisadi, Leo unasema sio fisadi,
Je kwa wenzetu ambao hawafikirii kwa kufikiria matumbo yao je inawezekana kubadili gia angani
Ana Cheti feki huyoHili jibu linatoa maono kwamba hili linalosemwa ni kweli.... Basi tuwawajibishe wote. Ishakuwa kero sasa.