Wadau,hii imekaaje?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,680
149,877
Katibu Tawala Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Robert Siyantemi ameshauri tafiti za kisayansi zifanyike ili kuona uwezekano wa kutumia damu za wanyama kwa binadamu.

Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa afya wa mkoa ulifanyika wilayani Arumeru chini ya mkuu wa mkoa wa huo, Mrisho Gambo alisema kutokana na changamoto kubwa inayoikabili Wizara ya Afya katika kuijihakikishia usalama wa damu ni bora uangaliwe utaratibu wa kutumia damu za wanyama.

"Mheshimiwa mwenyekiti naamini utafiti umeshafanyika au unaendelea kufanyika nashauri damu za wanyama hasa hawa wanaofanania na binadamu kama nyani, tumbili na kima damu zao zifanyiwe utafiti tuone kama zinaweza kutusaidia," alisema

Siyantemi ambaye alikua miongoni mwa wanachama 42 wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kugombea urais mwaka 2015 alijizolea umaarufu akiwa mtia nia kijana kuliko wote.

Chanzo:Mwananchi
 
No corresponding antigens on red blood cells of animals that match those of humans to make transfusion possible .... self and non self recognition.
Tawala huyo hakusoma biology ???!!!!, even elementary biology of blood at form 4 level!
 
Hawa jamaa sijui wako dunia gani kiasi wasijue kwamba magonjwa ebola,zika na ukimwi yanahusishwa na magonjwa yatokanayo na hao wanyama.
 
Inabidi watu warudi shule there after ndipo waweze kuzungumzia masuala ya kitaalamu Kama haya!!

Haya ni Maajabu ya karne.
 
Katibu Tawala Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Robert Siyantemi ameshauri tafiti za kisayansi zifanyike ili kuona uwezekano wa kutumia damu za wanyama kwa binadamu.

Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa afya wa mkoa ulifanyika wilayani Arumeru chini ya mkuu wa mkoa wa huo, Mrisho Gambo alisema kutokana na changamoto kubwa inayoikabili Wizara ya Afya katika kuijihakikishia usalama wa damu ni bora uangaliwe utaratibu wa kutumia damu za wanyama.

"Mheshimiwa mwenyekiti naamini utafiti umeshafanyika au unaendelea kufanyika nashauri damu za wanyama hasa hawa wanaofanania na binadamu kama nyani, tumbili na kima damu zao zifanyiwe utafiti tuone kama zinaweza kutusaidia," alisema

Siyantemi ambaye alikua miongoni mwa wanachama 42 wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kugombea urais mwaka 2015 alijizolea umaarufu akiwa mtia nia kijana kuliko wote.

Chanzo:Mwananchi
Hayo ni mawazo yake lakini ukweli ni kuwa damu ya wanyama kama ilivyo ya binadamu ina ma gurupu mengi blood groups nk na tofauti nyingi.

Hata hivyo utafiti kuhusu SYTHENTIC BLOOD/DAMU ya KUJITENGENEZEA kisayansi umekuwa ukiendelea kwa kasi. Hasa kutumia SKIN CELLS/ Chembechembe zinazotolewa kutoka kwenye NGOZI ya binadamu. ( SIYO uchuna ngozi tafadhali)

Zinakuzwa kwenye maabara maalumu na zinaweza kukaa muda MREFU zikiwa refridgerated/Ndani ya Jokovu bila kuharibika.
Tofauti na damu ya binadamu inakaa wiki kadhaa kabla ya kuharibika.

Katika utafiti wa wanasayansi sasa ni kuunda ama kutengeneza ka chembe ka BANDIA katakotumika kama gari la usafirishaji wa oxygen ndani ya hiyo damu katika mzunguko MWILINI!
Na huenda MWAKA huu wataalamu wakawa na JIBU na kuanza kutumia damu aina hii hasa Uingereza na huenda nyingi zingine zikafuata uvumbuzi huu..
Lakini hili la wanyama lina safari ndefu!
 
Back
Top Bottom