Wadau hebu turudi class enzi hizo

Amesema hasa vyuoni lakini si lazima uwe umefika mi nakuchagulia namba 5 haiwezekani mkuu ukose namba yako hv hv
 
Tusonge nayo kama kawa wazee na mabibi wa jf bado sijawaona huku.....

Hebu njoooniiiiiiiiiiii
 
Looh mbona mie inanihusu kwingi 3 8 13 14

Hahaha ila 13 na 14 ila nikikumbuka niliokuwa napiga nao kelele naishia kucheka tu
 
Hahaha saa nyengine hata hatujasikia kilichoulizwa ila kelele zake hatar daah natamanije

Alafu pia mara nyingi back benchers tunakaa men, akikaa mdada basi atakua sistaduu mtukutu & kiburi according to katiba yetu ya back bencha
 
Alafu pia mara nyingi back benchers tunakaa men, akikaa mdada basi atakua sistaduu mtukutu & kiburi according to katiba yetu ya back bencha

Hahaha mie sio mtukutu kivileee

Ila napendaga kelele +fujo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…