Wadau: Epuka uchumba wa muda mrefu



Swali, mlikuwa mnalalana au ala?
 
Kwani uchumba ni nini sababu kuna watu wanajiita wachumba kumbe kuna watu wanaishi pamoja wanapata mtoto au watoto, ukimuuliza jibu nikwa huyo ni mchumba wangu sijauoa /ajanioa sasa mimi mtu wa bara sijui maana uchumba ni unaotwambia ni upi?kwani sisi wabara tunaamini mkiishi zaidi ya mwezi pande mbili za wazazi wakijua hiyo ni ndoa mmehoana kupitia maelezo ayo natamani kujua uchumba upi unaozungumzwa?.
 
Mazoea na Insecurty ni mwiba mkaliiiiiiì kwenye mahusiano sugu.
 
uchumba mkuu ni pale ambopa hamjafika kwa wazazi/nyumba za ibada kurasimisha uhusiano wenu.
 
Mazoea na Insecurty ni mwiba mkaliiiiiiì kwenye mahusiano sugu.
exactly mtu huwezi kuwa na security miaka inakatika mnaishi kwa mazoea.wenzenu wanafunga ndoa.mnahudhuria.yenu haijulikani lini.
 
exactly mtu huwezi kuwa na security miaka inakatika mnaishi kwa mazoea.wenzenu wanafunga ndoa.mnahudhuria.yenu haijulikani lini.
Ila kama sio fungu lako utaendelea kulea tuu...[emoji22]
 
Wadada, hasa hawa wa 20's, wanatataka mwanaume angalau aliyejenga. Hivyo anaweza kukuambia tutafunga ndoa hata 2020 ili mume uwe umejipanga. Muda unavyozidi kwenda utasikia 2020 ni mbali, tufanye 2019, baadaye 2018, baadaye 2017 katikati.
Kumbuka, hapo unajipanga kujenga, huku unashinikizwa sijui uandike posa, bado masuala ya mahari, harusi zenye head ache.
Katika contradicting goals, uchumba lazima uchukue muda.
Ndiyo maana kuna mdau alisema alitoa lalamiko lake humu juu ya ugumu wa kupata mke.
 
laiti mda ungekuwa unahitajika hivyo na hampeani huduma za wanandoa ningeelewa.lakini.uchumba wa sasa hivi bila kutiana mimba na kuzitoa ni aghlabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…