Asanteni kwa wishes zenu.La mauaji ya albino kwa kweli ni suala linagusa wengi ntajitahidi hasa kukutana na viongozi wa kiroho ili kuhimiza watu kuwa na hofu ya mungu.Mara ya nwisho kwenda ni 2013 na safari hii nataka niweke mazingira ya kuanzisha Luigi ya mpira wa miguu mwezi juni yenye kauli mbiu,"Tetea Albino zuia mauaji yao jukumu ni letu site"