Leo watajutaHahahaa! Wamepatikana tumejaa wenyewe huku watuache tuwape vidonge wapite kimya ili viwaingie kisawa sawa
Yaani tena wote wamefanana siku hizi utafikiri ndugu jamani hakuna wa afadhaliWanajijua ila wanajitoa ufahamu
Hivi sio wewe yule unaetuchukia beyond maelezo!!!Hahaha Ila nafurahi mid sio miongoni mwa hao wengi!
Kuja kunisema huku JF ndo nini?![emoji17]Walio wengi wameshindikana hata walelewe vipi bado watatafuta wa kuwalea tu.
Kabisa halina ubishi hiloLeo watajuta
Sio chuki ni hasira tu ambazo ni temporary feelings! Kuna vitu vinakera hata kusikia at times!Hivi sio wewe yule unaetuchukia beyond maelezo!!!
Nashukuru umeadmit kuwa ni temporary hasira. Safi sana, nice step.Sio chuki ni hasira tu ambazo ni temporary feelings! Kuna vitu vinakera hata kusikia at times!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena wauaji kabisaa
Safi kabsaHii nakubaliana na wewe,
Kama unafugwa hufugiki ulitegemea nini?Kuja kunisema huku JF ndo nini?![emoji17]
Tunataka kudekezwa tu, ni wanawake wachache sana wanaojua kudekeza mume!Hahaha! Labda mnatafuta nini msichokipata kwa wanawake kuwa mkweli
Hukohuko shoga, ndiko utamaduni huo umeshamiri.Kwetu Kwamtogole.
Inategemea ila mlio wengi hata mkidekezwa kudeka kwenyewe hamkujui.Tunataka kudekezwa tu, ni wanawake wachache sana wanaojua kudekeza mume!
Kuna nyanja nyingi za kudeka, kuanzia kwenye kula, kulala, kuugua, kitandani nk wakati pekee ambao mume hawezi kudeka wala kudekezwa ni wakati akiwa na mfadhaiko (stress) hasa unapotokana na kazi zinapomuendea vibaya, hapo inabidi mke awe muelewa kwelikweli, la sivyo ndoa itaingia tafrani. Otherwise, mume kwa mkewe ni kama mtoto kwa mamaake tu, lazima atataka kudeka kwa namna moja au nyingine, asipolipata hilo, mnh!Inategemea ila mlio wengi hata mkidekezwa kudeka kwenyewe hamkujui.
Kweli tupuWalio wengi wameshindikana hata walelewe vipi bado watatafuta wa kuwalea tu.
Kwa kweli yaaniHahahaha hawajielewiii