Yapi yamekukuta?Ukiona niko kwenye shida, niombee...
Ukiona niko kwenye tabu, niombee...
Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena,
Ujue kwa maombi yako mimi nitasimamaa..!
Yaani tuombeane tuUkiona niko kwenye shida, niombee...
Ukiona niko kwenye tabu, niombee...
Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena,
Ujue kwa maombi yako mimi nitasimamaa..!
sio kajiwe gizani kweli??Nimejisikia tu hamu ya kuimba hako ka zilipendwa ka Upendo Nkone.
Tatizo lako na wenzio mnapenda kukariri unamwona 30 mkubwa kazaa dunia wapo wanaowapenda na ukubwa wao pambana na hali yakoUkipiga mluzi hata kama unafukuza ndege akiusikia anasimama. Ukimtumia SMS ya salaam anajibu kwa unyenyekevu na adabu zote.
Ukianza kuchat naye mwambie tu kuwa mm ni mtu mzima sitaki mahusiano ya kupotezeana muda. Dada ataunga mkono hoja na kukuona kuwa upo serious kwa ndoa.
Akichelewa kujibu SMS ama akipinda kidogo kwenye hoja mtishie kumuacha, Dada atakusihi "mpk basi".
Baada ya hapo mwambie akuletee mgegedo kwakuwa hutaki "kunywa maji" sehemu nyingine mara upatapo kiu. Dada atakuja mbioooo. Kumbe kidume unamuwaza under 18, muhenga anajituma bure na kufanya usafi na mapishi huku ukimng'ong'a.
Jamani wadada mpo kwenye zama ngumu sana hizi.. Nikisikiliza mastori ya kiumeni nawaonea huruma sana.
Hivi huwa mnajua kwamba mkiondoka getto anakuja under 18 kupiga kambi?
My take. Dada ukifikisha 30 hujaolewa, bora uachane na ndoto za kuolewa. Tafuta utaratibu wa kukata kiu yako tu. Dada utamu ushakwisha na joto hauna tena. Pia ute wa kulainisha k ushaganda na kutengeneza vijiwe vidogo vidogo (,crystals). Menopause ndiyo hiyooo inakuja Akutake nani!!!????
Aisee mim sio mwenzake, Me I do like most ladies in 30s, they are really sweet.Tatizo lako na wenzio mnapenda kukariri unamwona 30 mkubwa kazaa dunia wapo wanaowapenda na ukubwa wao pambana na hali yako
nakuunga mkonoWadada in 30+ wanajua kupenda jaman mpaka raha mi ndomana sichezi nao mbali hata kidogo
Umejuaje nina mmja huyo nimempata juzi tu hata sijagegeda bado kila ninachomueleza anakubali tu hadi raha alafu kako potable.Wadada in 30+ wanajua kupenda jaman mpaka raha mi ndomana sichezi nao mbali hata kidogo
[emoji120][emoji120][emoji120]Ukiona niko kwenye shida, niombee...
Ndoa yangu imevunjika, niombee...
Nikikawia kupata mtoto, niombee...
Hata nijapo kuwa mjane,niombee...
Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena,
Ujue kwa maombi yako mimi nitabarikiwa!
USIFURAHI JUU YANGU by UPENDO NKONE
Mwacheni huyo zimwi hangaike na vitoto. Usikute hata yeye mwenyewe mtoto kabalehe jana awazi vitu vya maana anahangaikia kuwasema wadada wa miaka 30----.[emoji51]Umejuaje nina mmja huyo nimempata juzi tu hata sijagegeda bado kila ninachomueleza anakubali tu hadi raha alafu kako potable.