Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,699
- 126,533
teh! teh! teh!Kama umepiga lakini hutumii dawa je? si ndo umeichokonoa harufu. Kupiga mswaki sio hoja. Hoja umepigaje mswaki.
Kwa hiyo mchana ndo inatoka na nini?
teh! teh! teh!Kama umepiga lakini hutumii dawa je? si ndo umeichokonoa harufu. Kupiga mswaki sio hoja. Hoja umepigaje mswaki.
kwa juice, Big G, Big Boom n.kKwa hiyo mchana ndo inatoka na nini?
mzee unarahaaa huku kwenye zege hamna mademu