kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 733
Binafsi sijawah wapenda wapenda kwan huwa na ma bichwa makubwa mno hasa wakijiweka hiyo mi wigi kichwani... Yaan li bichwa linakuwa hilo kisa afanane na mzunguHaohao wavaa mawagi ndo mnawapenda msivunge hapa.
Binafsi sijawah wapenda wapenda kwan huwa na ma bichwa makubwa mno hasa wakijiweka hiyo mi wigi kichwani... Yaan li bichwa linakuwa hilo kisa afanane na mzungu
Daaah...aisee una moyo mgumuKumekuwa na ka tabia ka hawa madada zetu wanao jiweka mawigi vichwani mwao halafu ikitokea unaongea nae basi anajifanya kutikisa kichwa hivi huku akiweka sawa hizo nywele zake bandia..
Kwa mda mrefu nlikuwa sijaelewa kwann wanafanya hivo ila baada ya mda kupita nimegungua hasa baada ya kuwaona wazungu wakifanya vile nikagungundua kuwa hata hawa dada zetu wamekuwa wakifanya vile ili kujifananisha na wazungu kwani kuna mda unakuta mdada anatikisa kichwa wakat hizo nywele bandia zake wala hazijakaa vbaya kisa swaga za kizungu.
Nmejiuliza maswali hivi na wazungu nao wana mawigi ya nywele vipilipili kama zetu? Kwa sababu kama ni kuwatukuza wazungu tumezidi ikiwezekana tupunguze kidogo kwa sababu licha ya hayo manyele ya amrehemu unakuta mdada mweusi huku kwetu ushenzini kajichubua ngozi yake na mavipodozi ili awe mweupe kama mzungu..
Ombi langu kama mtu mweusi kutoka huku weusini tupunguze kuwatukuza hawa wazungu kwani inafika mda tunamkufuru hata muumba wetu kwa kujibadilisha vile alivyotuumba na kutaka tuwe, siku ya mwisho atasema ww nilikuumba weusi na nywele kipilipili mbona leo upo hivi? Kwa sabab mungu ameumba kila kiumbe kwa sabab maalumu..
Sasa ni nini kifanyike ili kupunguza hali hii kwa watu wetu ili tujivunie na sisi tamaduni zetu ili siku moja zisiwe tamaduni za kishenzi ?
Hata hao wazungu pia na wao huvaa mawigi
Yaani wanaume wa Jf wananishangaza... Wasichana wanaowaponda huku, wakienda mitaani ndo wanawakimbiza... Mdada akijisukia zake twende kilioni a.k.a mnyoosho wanamuona mshamba. Alafu huku wanalalama kutaka wadada natural!!!Haohao wavaa mawagi ndo mnawapenda msivunge hapa.
Ni mawigi ya nywele za kiafrika?Hata hao wazungu pia na wao huvaa mawigi
Huyo wa twende kilioni, mabutu au tatu kichwa mimi ndio namtaka huyo.Yaani wanaume wa Jf wananishangaza... Wasichana wanaowaponda huku, wakienda mitaani ndo wanawakimbiza... Mdada akijisukia zake twende kilioni a.k.a mnyoosho wanamuona mshamba. Alafu huku wanalalama kutaka wadada natural!!!
Yaani wanaume wa Jf wananishangaza... Wasichana wanaowaponda huku, wakienda mitaani ndo wanawakimbiza... Mdada akijisukia zake twende kilioni a.k.a mnyoosho wanamuona mshamba. Alafu huku wanalalama kutaka wadada natural!!!
UwiiiiiiiiiiiMawigi mengine yananuka hasa tukipandaga daladala wanazingua sana na hiz nywele za marehem wa India